Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 19:25-27

Yohana 19:25-27 SRUV

Na penye msalaba wake Yesu walikuwa wamesimama mamaye, na umbu la mamaye, Mariamu wa Klopa, na Mariamu Magdalene. Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, Mama, tazama, mwanao. Kisha akamwambia yule mwanafunzi, Tazama, mama yako. Na tangu saa ile mwanafunzi yule akamchukua nyumbani kwake.

Soma Yohana 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 19:25-27