Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 14:6-7

Yohana 14:6-7 SRUV

Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.

Soma Yohana 14