Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 3:17-18

Yakobo 3:17-18 SRUV

Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki. Na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.

Soma Yakobo 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 3:17-18