Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 2:5-7

Yakobo 2:5-7 SRUV

Ndugu zangu wapenzi, sikilizeni, Je! Mungu hakuwachagua maskini wa dunia wawe matajiri wa imani na warithi wa ufalme aliowaahidia wampendao? Bali ninyi mmemvunjia heshima maskini. Je! Matajiri hawawaonei ninyi na kuwavuta mbele ya viti vya hukumu? Hawalitukani jina lile zuri mliloitwa?

Soma Yakobo 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 2:5-7