Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:17-18

Yakobo 1:17-18 SRUV

Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka. Kwa kupenda kwake mwenyewe alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.

Soma Yakobo 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 1:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha