Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:13-14

Yakobo 1:13-14 SRUV

Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu. Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.

Soma Yakobo 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 1:13-14