Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:6-8

Isaya 40:6-8 SRUV

Sikiliza, ni sauti ya mtu asemaye, Lia! Nikasema, Nilie nini? Watu wote ni majani, Na wema wake wote ni kama ua la shambani; Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya BWANA yapita juu yake. Hakika watu ni majani. Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.

Soma Isaya 40