Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waraka kwa Waebrania 6:10

Waraka kwa Waebrania 6:10 SRUV

Maana Mungu si dhalimu hata aisahau kazi yenu, na pendo lile mlilolidhihirisha kwa jina lake, kwa kuwa mmewahudumia watakatifu, na hata hivi sasa mngali mkiwahudumia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waraka kwa Waebrania 6:10