Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waraka kwa Waebrania 1:10-11

Waraka kwa Waebrania 1:10-11 SRUV

Na tena, Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako; Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo