Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 46:2-4

Mwanzo 46:2-4 SRUV

Mungu akanena na Israeli katika ndoto ya usiku, akasema, Yakobo, Yakobo. Akasema, Mimi hapa. Akasema, Mimi ni Mungu, Mungu wa baba yako, usiogope kushuka mpaka Misri; maana nitakufanya uwe taifa kubwa huko. Mimi nitashuka pamoja nawe mpaka Misri; nami nitakupandisha tena bila shaka; na Yusufu ataweka mkono wake juu ya macho yako.

Soma Mwanzo 46

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 46:2-4