Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 3:17-19

Mwanzo 3:17-19 SRUV

Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nilikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako; michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni; kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.

Soma Mwanzo 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 3:17-19