Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 16:13-14

Mwanzo 16:13-14 SRUV

Akampa jina BWANA aliyesema naye, “Wewe U Mungu uonaye,” kwani alisema, “Kweli nimemwona Mungu na nikaendelea kuishi baada ya kumuona?” Kwa hiyo kisima kile kiliitwa Beer-lahai-roi. Tazama, kiko kati ya Kadeshi na Beredi.

Soma Mwanzo 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 16:13-14