Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 34:7-10

Ezekieli 34:7-10 SRUV

Basi, enyi wachungaji, lisikieni neno la BWANA; Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, kwa sababu kondoo wangu walikuwa mateka, kondoo wangu wakawa chakula cha wanyamamwitu wote, kwa sababu hapakuwa na mchungaji, wala wachungaji wangu hawakutafuta kondoo wangu, bali wachungaji walijilisha wenyewe wala hawakuwalisha kondoo wangu; kwa sababu hiyo, enyi wachungaji, lisikieni neno la BWANA; Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu ya wachungaji; nami nitawataka kondoo wangu mikononi mwao, nami nitawaachisha hiyo kazi ya kuwalisha kondoo; nao wachungaji hawatajilisha wenyewe tena; nami nitawaokoa kondoo wangu vinywani mwao, wasiwe tena chakula chao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 34:7-10