Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 9:18-19

Kutoka 9:18-19 SRUV

Tazama, kesho wakati kama huu, nitanyesha mvua ya mawe nzito sana, ambayo mfano wake haujakuwa huko Misri tangu siku ile ilipoanza kuwa hata hivi sasa. Basi sasa tuma watu wahimize kuingiza ndani mifugo yako na hayo yote uliyo nayo mashambani; kwani kila mtu na kila mnyama apatikanaye mashambani, wasioletwa nyumbani, hiyo mvua ya mawe itanyesha juu yao, nao watakufa.

Soma Kutoka 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 9:18-19