Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 9:18-19

Kutoka 9:18-19 NEN

Kwa hiyo, kesho wakati kama huu nitaleta mvua mbaya sana ya mawe ambayo haijapata kunyesha katika nchi ya Misri, tangu siku ilipoumbwa mpaka leo. Sasa toa amri urudishe wanyama wote watoke malishoni na chochote ambacho kipo mashambani waje mpaka mahali pa usalama, kwa sababu mvua ya mawe itanyesha juu ya kila mtu na kila mnyama ambaye hajaletwa ndani ambao bado wako nje mashambani, nao watakufa.’ ”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 9:18-19