Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 34:10

Kutoka 34:10 SRUV

Akasema, Tazama, nafanya agano; mbele ya watu wangu wote nitatenda miujiza, ya namna isiyotendeka katika dunia yote, wala katika taifa lolote; na watu wote ambao unakaa kati yao wataona kazi ya BWANA, kwa maana ni neno la kutisha nikutendalo.

Soma Kutoka 34

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 34:10