Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 29:45-46

Kutoka 29:45-46 SRUV

Na mimi nitakaa kati ya wana wa Israeli, nami nitakuwa Mungu wao. Nao watanijua kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, niliyewatoa katika nchi ya Misri, nipate kukaa kati yao; ni mimi BWANA Mungu wao.

Soma Kutoka 29

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 29:45-46