Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 29:45-46

Kut 29:45-46 SUV

Na mimi nitakaa kati ya wana wa Israeli, nami nitakuwa Mungu wao. Nao watanijua kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, niliyewaleta watoke katika nchi ya Misri, nipate kukaa kati yao; ni mimi BWANA Mungu wao.

Soma Kut 29

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 29:45-46