Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 2:3-4

Kutoka 2:3-4 SRUV

Na alipokuwa hawezi kumficha tena, akamtengenezea kikapu cha mafunjo akakitaliza kwa sifa na lami, akamtia mtoto ndani yake, akakiweka kwenye nyasi kando ya mto. Dada yake mtoto akasimama mbali ili ajue yatakayompata.

Soma Kutoka 2

Video ya Kutoka 2:3-4