Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 10:21-22

Kutoka 10:21-22 SRUV

BWANA akamwambia Musa, Nyosha mkono wako kuelekea mbinguni, kuwe giza juu ya nchi ya Misri, watu wapapasepapase gizani. Basi Musa akaunyosha mkono wake kuelekea mbinguni; kukawa na giza nene katika nchi yote ya Misri muda wa siku tatu

Soma Kutoka 10

Video for Kutoka 10:21-22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 10:21-22