Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 10:21-22

Kut 10:21-22 SUV

BWANA akamwambia Musa, Nyosha mkono wako kuelekea mbinguni, kuwe giza juu ya nchi ya Misri, watu wapapase-papase gizani. Basi Musa akaunyosha mkono wake kuelekea mbinguni; kukawa na giza nene katika nchi yote ya Misri muda wa siku tatu

Soma Kut 10

Video for Kut 10:21-22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 10:21-22