Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:29-32

Waefeso 4:29-32 SRUV

Neno lolote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji, ili liwape neema wanaosikia. Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa mhuri hata siku ya ukombozi. Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matusi yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya; tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkasameheane kama Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi.

Soma Waefeso 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 4:29-32