Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 2:7-10

Waefeso 2:7-10 SRUV

ili katika zamani zinazokuja audhihirishe wingi wa neema yake upitao kiasi kwa wema wake kwetu sisi katika Kristo Yesu. Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu. Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo.

Soma Waefeso 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 2:7-10