Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 2:1-3

Waefeso 2:1-3 SRUV

Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu; ambazo mliziendea zamani kwa kuifuata kawaida ya ulimwengu huu, na kwa kumfuata mfalme wa uwezo wa anga, roho yule atendaye kazi sasa katika wana wa kuasi; ambao zamani, sisi sote nasi tulienda kati yao, katika tamaa za miili yetu, tulipoyatimiza mapenzi ya mwili na ya nia, tukawa kwa tabia yetu watoto wa hasira, kama wengineo wote.

Soma Waefeso 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 2:1-3