Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 11:26-28

Kumbukumbu la Torati 11:26-28 SRUV

Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana; baraka ni hapo mtakapoyafuata maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizayo leo; na laana ni hapo msipotii maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkapotoka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine msiyoijua.

Video for Kumbukumbu la Torati 11:26-28