Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 1:8

Danieli 1:8 SRUV

Lakini Danieli aliazimu moyoni mwake ya kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme, wala kwa divai aliyokunywa; basi akamwomba yule mkuu wa matowashi ampe ruhusa asijitie unajisi.

Soma Danieli 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 1:8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha