Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 1:17

Danieli 1:17 SRUV

Basi, kwa habari za hao vijana wanne, Mungu aliwapa maarifa na ujuzi katika elimu na hekima; Danieli naye alikuwa na ufahamu katika maono yote, na ndoto.

Soma Danieli 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 1:17