Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 3:22-24

Wakolosai 3:22-24 SRUV

Ninyi watumwa, watiini hao ambao kwa mwili ni bwana zenu, katika mambo yote, si kwa utumwa wa macho, kama wajipendekezao kwa wanadamu, bali kwa unyofu wa moyo, mkimcha Bwana. Lolote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu, mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 3:22-24