Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 2:1-3

Wakolosai 2:1-3 SRUV

Maana nataka ninyi mjue jinsi ilivyo kuu juhudi yangu niliyo nayo kwa ajili yenu, na kwa ajili ya wale wa Laodikia, na wale wasioniona uso wangu katika mwili; ili wafarijiwe mioyo yao, wakiunganishwa katika upendo, wakapate utajiri wote wa kufahamu kwa hakika, wapate kujua kabisa siri ya Mungu, yaani, Kristo; ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 2:1-3