Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 1:12-14

Wakolosai 1:12-14 SRUV

mkimshukuru Baba, aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru. Naye alituokoa kutoka kwa nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake mpendwa; ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 1:12-14