Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:32-33

Matendo 2:32-33 SRUV

Yesu huyo Mungu alimfufua, na sisi sote tu mashahidi wake. Basi yeye, akiisha kupandishwa hadi mkono wa kulia wa Mungu, na kupokea kwa Baba ile ahadi ya Roho Mtakatifu, amekimwaga kitu hiki mnachokiona sasa na kukisikia.

Soma Matendo 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 2:32-33