Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 18:2-3

Matendo 18:2-3 SRUV

Akamwona Myahudi mmoja, jina lake Akila, mzalia wa Ponto; naye amekuja kutoka nchi ya Italia siku za karibu, pamoja na Priskila mkewe, kwa sababu Klaudio amewaamuru Wayahudi wote watoke Rumi, naye akafika kwao; na kwa kuwa kazi yao ya ufundi ilikuwa moja, akakaa kwao, wakafanya kazi pamoja, kwa maana walikuwa mafundi wa kushona hema.

Soma Matendo 18

Video ya Matendo 18:2-3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 18:2-3