Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 18:2-3

Mdo 18:2-3 SUV

Akamwona Myahudi mmoja, jina lake Akila, mzalia wa Ponto; naye amekuja kutoka nchi ya Italia siku za karibu, pamoja na Prisila mkewe, kwa sababu Klaudio amewaamuru Wayahudi wote watoke Rumi, naye akafikilia kwao; na kwa kuwa kazi yao ya ufundi ilikuwa moja, akakaa kwao, wakafanya kazi pamoja, kwa maana walikuwa mafundi wa kushona hema.

Video ya Mdo 18:2-3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 18:2-3