Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 11:1-3

Matendo 11:1-3 SRUV

Basi mitume na ndugu waliokuwako katika Yudea wakapata habari ya kwamba watu wa Mataifa nao wamelipokea neno la Mungu. Na Petro alipopanda kwenda Yerusalemu, wale walio wa tohara wakashindana naye, wakisema, Uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao.

Soma Matendo 11