Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 3:14-15

2 Timotheo 3:14-15 SRUV

Bali wewe ukae katika mambo yale uliyofundishwa na kuhakikishwa, kwa maana unajua ni akina nani ambao ulijifunza kwao; na ya kuwa tangu utotoni umeyajua Maandiko Matakatifu, ambayo yaweza kukuhekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika Kristo Yesu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 3:14-15