Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Tim 3:14-15

2 Tim 3:14-15 SUV

Bali wewe ukae katika mambo yale uliyofundishwa na kuhakikishwa, kwa maana unajua ni akina nani ambao ulijifunza kwao; na ya kuwa tangu utoto umeyajua maandiko matakatifu, ambayo yaweza kukuhekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika Kristo Yesu.

Soma 2 Tim 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Tim 3:14-15