Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 2:23-26

2 Timotheo 2:23-26 SRUV

Lakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa magomvi. Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu; akiwaonya kwa upole wao washindanao naye, ili kama ikiwezekana, Mungu awajalie ili watubu na kuijua kweli; wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Ibilisi, ambaye amewanasa, hata wakayafanya mapenzi yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 2:23-26