Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 3:18

2 Samweli 3:18 SRUV

basi, sasa, fanyeni hayo; kwa maana BWANA amemtaja Daudi, akisema, kwa mkono wa mtumishi wangu, Daudi, nitawaokoa watu wangu Israeli katika mikono ya Wafilisti, na katika mikono ya adui zao wote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 3:18