Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Petro 1:5-8

2 Petro 1:5-8 SRUV

Naam, na kwa sababu iyo hiyo jitahidini sana ili katika imani yenu mtie na wema, na katika wema wenu maarifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu subira, na katika subira yenu utauwa, na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu, upendo. Maana mambo hayo yakiwa kwenu na kujaa tele, yawafanya ninyi kuwa si wavivu wala si watu wasio na matunda, kwa kumjua Bwana wetu Yesu Kristo.

Soma 2 Petro 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Petro 1:5-8