Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 7:2

2 Wafalme 7:2 SRUV

Basi yule afisa, ambaye mfalme alikuwa akitegemea mkono wake, akamjibu yule mtu wa Mungu, akasema, Tazama, kama BWANA angefanya madirisha mbinguni, je! Jambo hili lingewezekana? Akamwambia, Angalia, wewe utaliona kwa macho yako, lakini hutakula.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 7:2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha