Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 6:1-2

2 Wakorintho 6:1-2 SRUV

Nasi tukitenda kazi pamoja naye twawasihi msiipokee neema ya Mungu bure. (Kwa maana asema, Kwa wakati uliokubalika nilikusikia, Na katika siku ya wokovu nilikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama, siku ya wokovu ndiyo sasa.)

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 6:1-2