Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 12:6-7

2 Wakorintho 12:6-7 SRUV

Maana kama ningetaka kujisifu singekuwa mpumbavu, kwa sababu nitasema kweli. Lakini najizuia, ili mtu asinihesabie zaidi ya hayo ayaonayo kwangu au kuyasikia kwangu. Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi, kwa wingi wa mafunuo hayo nilipewa mwiba katika mwili, mjumbe wa Shetani ili anipige, nisije nikajivuna kupita kiasi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 12:6-7