Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Mambo ya Nyakati 1:11-12

2 Mambo ya Nyakati 1:11-12 SRUV

Naye Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha ya wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; bali umejitakia hekima na maarifa, upate kuwatawala watu wangu, niliokutawaza juu yao; basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa navyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Mambo ya Nyakati 1:11-12