Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 30:6

1 Samweli 30:6 SRUV

Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini Daudi alijitia nguvu katika BWANA, Mungu wake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 30:6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha