Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 17:37

1 Samweli 17:37 SRUV

Daudi akasema, BWANA aliyeniokoa na makucha ya simba, na makucha ya dubu, ataniokoa na mkono wa Mfilisti huyu. Sauli akamwambia Daudi, Nenda, na BWANA atakuwa pamoja nawe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 17:37