Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 2:9-10

1 Petro 2:9-10 SRUV

Bali ninyi ni uzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu; ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.

Soma 1 Petro 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 2:9-10