Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 19:21

1 Wafalme 19:21 SRUV

Akarudi akiacha kumfuata, akatwaa lile jozi la ng'ombe, akawachinja, akatokosa nyama zao kwa ile miti ya ng'ombe, akawapa watu, wakala. Kisha akainuka, akamfuata Eliya, akamhudumia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 19:21