Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 15:54-55

1 Wakorintho 15:54-55 SRUV

Basi huu uharibikao utakapovaa kutoharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, Mauti imemezwa katika ushindi. Kuko wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? Uko wapi, Ewe mauti, uchungu wako?