Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 8:5-6

Zaburi 8:5-6 SRUVDC

Umemfanya mdogo kuliko Mungu; Umemvika taji la utukufu na heshima; Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.

Soma Zaburi 8