Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 14:16-17

Mathayo 14:16-17 SRUVDC

Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi vyakula. Wakamwambia, Hamna kitu hapa ila mikate mitano na samaki wawili.

Soma Mathayo 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 14:16-17